14 1 Pet 4:9Yatendeni mambo yote pasipo manung’uniko wala mashindano, 15 Kum 32:5;Mt 5:14;10:16;Flp 1:10;Efe 5:8;Kum 32:5;Mdo 2:40mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu,
Publicidade