Pular para o conteúdo
Publicidade

Wagalatia 4

24 Gal 5:1;Rum 8:15Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri. 25 Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa yuko utumwani pamoja na watoto wake. 26 Ebr 12:22Bali Yerusalemu wa juu ni muungwana, naye ndiye mama yetu sisi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também