Kazi za kimwili
16 Basi nasema, Nendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
Tunda la Roho
22 Efe 5:9Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, 23 1 Tim 1:9upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria. 25 Rum 8:4Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.