Kazi za kimwili
16 Basi nasema, Nendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
25 Rum 8:4Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
16 Basi nasema, Nendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
25 Rum 8:4Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho.
16 Kwa hiyo nasema, nendeni kwa Roho wa Mungu, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
25 Kwa kuwa tunaishi kwa Roho wa Mungu, basi, tuenende kwa Roho.
16 Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
25 Kwa kuwa tunaishi kwa Roho, basi, tuenende kwa Roho.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.