26 Zab 100:3;Efe 4:24;Yak 3:9;Zab 8:6Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. 27 1 Kor 11:7;Efe 4:24;Kol 3:10;Mal 2:15;Mt 19:4;Mk 10:6;Mwa 5:1-2Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Publicidade