Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 1

26 Zab 100:3;Efe 4:24;Yak 3:9;Zab 8:6Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini. 27 1 Kor 11:7;Efe 4:24;Kol 3:10;Mal 2:15;Mt 19:4;Mk 10:6;Mwa 5:1-2Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28 Zab 127:3;1 Tim 4:3;Mwa 9:1,7;Law 26:9;Zab 128:3,4Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Veja também