28 Zab 127:3;1 Tim 4:3;Mwa 9:1,7;Law 26:9;Zab 128:3,4Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuimiliki; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Publicidade