4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. 5 Zab 74:16Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Publicidade