8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi. 9 Mwa 6:11Alikuwa hodari kuwinda wanyama mbele za BWANA. Kwa hiyo watu hunena, Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda wanyama mbele za BWANA. 10 Mik 5:6Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa Babeli na Ereku, na Akadi, na Kalne, katika nchi ya Shinari.
Publicidade
Mwanzo 10:8-10
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa shujaa mwenye nguvu duniani. 9 Alikuwa mwindaji hodari mbele za Mwenyezi Mungu; Ndiyo maana watu husema, "Kama Nimrodi, mwindaji hodari mbele za Mwenyezi Mungu." 10 Vituo vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne, katika nchi ya Shinari.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
8 Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9 Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, "Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana." 10 Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.