5 Mwa 18:21;Zab 33:13;53:2BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu. 6 Zab 2:1,4BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya. 7 Mwa 1:26;42:23;Kum 28:49;Yer 5:15;Mdo 2:4-11;1 Kor 14:2,11,23Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao. 8 Mwa 10:25-32;Zab 92:9;Mit 19:29;Lk 1:51Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji. 9 1 Kor 14:23Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.
Publicidade