18 Ebr 7:1-10;Zab 110:4;Mik 6:6;Mdo 16:17;Ebr 7:10-22Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. 20 Ebr 7:4Ahimidiwe Mungu Aliye Juu Sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.