Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 18

13 BWANA akamwambia Abrahamu, Mbona Sara amecheka akisema, Mimi kweli nitazaa mwana, nami ni mzee? 14 Lk 1:37;Zab 115:3;Yer 32:17;Zek 8:6;Mt 3:9;19:26;Rum 4:21;Ebr 11:19Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também