19 Kum 6:6,7;Yos 24:15;Efe 6:4Kwa maana nimemchagua18:19 Nimemchagua: Katika Kiebrania ni nimemjua. ili awaamuru wanawe na vizazi vyake baada yake wadumishe njia ya BWANA, kwa kuwa wenye haki na kweli, ili BWANA naye akamtimizie Abrahamu ahadi zake.
Publicidade