Publicidade

Gênesis 2

22 Mit 18:22;Ebr 13:4na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. 23 Mwa 29:14;Amu 9:2;2 Sam 5:1;Efe 5:30;1 Kor 11:8Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume. 24 Zab 45:10;Mt 19:5;Mk 10:7-8;1 Kor 6:16;Efe 5:28-31Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-