Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 21

15 Hes 20:5;Zab 63:1Yale maji yalipoisha katika kiriba, Hajiri akamlaza kijana kichakani. 16 Mwa 44:34Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também