20 Mwa 28:15;31:13;Amu 11:30;2 Sam 15:8;1 Tim 6:8Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae; 22 Mwa 35:7;Law 27:30Na jiwe hili nililosimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.