Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 35:16,19

SRUV Swahili Revised Union Version

Kuzaliwa kwa Benyamini na kufa kwa Raheli

16 Wakasafiri kutoka Betheli, na kabla ya kufika Efrata, Raheli akashikwa na uchungu wa kuzaa, na uchungu wake ulikuwa mkali. 19 Mwa 48:7;Rut 1:2;4:11;Mik 5:2;Mt 2:6Akafa Raheli, akazikwa katika njia ya Efrata, ndio Bethlehemu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    16 Kisha wakaondoka Betheli. Kabla hawajafika Efrata, Raheli akaanza kujifungua na akapata shida kuu.

    19 Kwa hiyo Raheli akafa, na akazikwa kando ya njia iendayo Efrata (ndio Bethlehemu).

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    16 Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.

    19 Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.