Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 37

3 2 Sam 13:18Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu. 4 Mwa 27:41;49:23;1 Sam 17:28;Yn 7:3,5;1 Yoh 2:11;3:10Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.

Veja também