Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 39

20 Mwa 40:3;41:14;Zab 105:18;1 Pet 2:19Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani.

21 Mdo 7:9;Kut 3:21;11:3;12:36;Zab 106:46;Mit 16:7;Dan 1:9Lakini BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.

Veja também