Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 39

9 Mit 6:29;Mwa 20:6;Law 6:2;2 Sam 12:13;Zab 51:4Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?

Veja também