23 Lameki akawaambia wake zake,
Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;
Enyi wake za Lameki, sikilizeni ninachosema;
Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;
Kijana kwa kunichubua;
24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba,
Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.