Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 4

8 Mt 23:35;Lk 11:51;1 Yoh 3:12-15;Yud 1:11Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani].4:8 Maneno haya, yaliyofungwa katika vifungo, yameonekana katika nakala nyingine za kale. Ikawa walipokuwapo uwandani, Kaini akamwinukia Habili nduguye, akamwua.

Veja também