15 Zab 25:14;Dan 5:16Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri. 16 Zab 25:14;Mit 3:32;Dan 2:30;4:2;Amo 3:7;Yn 15:15;Mdo 3:12;2 Kor 3:5;Kum 29:29Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
25 Dan 2:28,29,45;Ufu 4:1Yusufu akamwambia Farao, Ndoto ya Farao ni moja; Mungu amemwonesha Farao atakayoyafanya hivi karibuni.
28 Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonesha Farao atakayoyafanya hivi karibu. 32 Na ndoto ya Farao kwa vile ilivyokuja mara mbili, ni kwa sababu neno hilo Mungu amelithibitisha, na Mungu atalitimiza upesi.