Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 45

5 Isa 40:2;2 Kor 2:7;Mwa 50:20;Kum 23:14;2 Sam 16:10,11;Zab 33:18,19;Mdo 4:24;2 Pet 2:9Basi sasa, msihuzunike, wala msiudhike nafsi zenu, kwa kuniuza huku; maana Mungu alinituma mbele yenu kuhifadhi maisha ya watu. 6 Maana miaka hii miwili njaa imekuwa katika nchi, na iko tena miaka mitano isiyo ya kulima wala kuvuna. 7 Mungu alinituma mbele yenu kuwahifadhia mabaki katika nchi, na kuwaokoa ninyi kwa wokovu mkuu. 8 Mwa 41:43;Amu 17:10;Ayu 29:16Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.

Veja também