Publicidade

Gênesis 7

17 Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arubaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi. 18 Zab 104:26Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_12-11-46-