Agano la Mungu na Nuhu
1 Mwa 1:28Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi.
1 Mwa 1:28Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi.
1 Ndipo Mungu akawabariki Nuhu na wanawe, akiwaambia, "Zaeni, mkaongezeke kwa idadi, na mkaijaze tena dunia.
1 Ndipo Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, "Zaeni mkaongezeke kwa idadi na mkaijaze tena dunia.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.