Neno akawa mwili
1 1 Yoh 1:1,2;Yn 17:5;Ufu 19:13Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
14 Isa 7:14;2 Pet 1:16,17;Isa 60:1;Lk 9:32Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.