14 Isa 7:14;2 Pet 1:16,17;Isa 60:1;Lk 9:32Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
18 Yn 6:46;1 Yoh 4:12;Mt 11:27;Lk 10:22;1 Tim 6:16Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.