14 Isa 7:14;2 Pet 1:16,17;Isa 60:1;Lk 9:32Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
15 Yn 1:27,30;Mt 3:11Yohana alimshuhudia, akapaza sauti yake akasema, Huyu ndiye niliyenena habari zake ya kwamba, Ajaye nyuma yangu amekuwa mbele yangu; kwa maana alikuwa kabla yangu. 16 Yn 3:34;Kol 1:19Kwa kuwa katika utimilifu wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema. 17 Rum 6:14;10:4;Kut 34:6;Zab 25:10;40:10;85:10Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.