Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 1:29,35-37

SRUV Swahili Revised Union Version

Mwana-kondoo wa Mungu

29 Yn 1:36;Isa 53:7Kesho yake alimwona Yesu akija kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

Wanafunzi wa kwanza wa Yesu

35 Tena kesho yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake. 36 Yn 1:29;Isa 53:7Akamtazama Yesu akitembea, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu! 37 Wale wanafunzi wawili wakamsikia akinena, wakamfuata Yesu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    29 Siku iliyofuata, Yahya alimwona Isa akimjia, akasema, "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

    35 Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36 Alipomwona Isa akipita, akasema, "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!"

    37 Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yahya akisema haya, wakamfuata Isa.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    29 Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!

    35 Siku iliyofuata, Yohana alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. 36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!"

    37 Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.