6 Mt 3:1;Mk 1:4;Lk 3:1-2;1:13-17,57-80Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Lk 3:3Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.