17 Flp 2:8,9Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. 18 Yn 5:26;19:11Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nililipokea kwa Baba yangu.