Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 12

Yesu aingia Yerusalemu kwa ushindi

12 Mt 21:1-11;Mk 11:1-10;Lk 19:29-40Nayo kesho yake watu wengi walioijia sikukuu walisikia ya kwamba Yesu anakuja Yerusalemu; 13 Zab 118:25,26wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!

Veja também