30 Yn 11:42Yesu akajibu, akasema, Sauti hiyo haikuwako kwa ajili yangu, bali kwa ajili yenu. 31 Yn 14:30;16:11;Lk 10:18Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje. 32 Yn 8:28Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.