14 Lk 22:27;1 Tim 5:10Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewaosha miguu, imewapasa ninyi pia kuoshana miguu ninyi kwa ninyi. 15 Flp 2:5;Kol 3:13;1 Pet 2:21Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo.
Publicidade