Yesu ni njia ya kwenda kwa Baba
1 Yn 14:27;Mk 11:22Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
27 Yn 1:16,33;Flp 4:7Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.