5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi tunaijuaje njia? 6 Ebr 10:20;Mt 11:27;Yn 11:25;Rum 5:1,2Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.