Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 2:19-21

SRUV Swahili Revised Union Version

19 Mt 26:61;27:40;Mk 14:58;15:29Yesu akajibu, akawaambia, Livunjeni hekalu hili, nami katika siku tatu nitalisimamisha. 20 Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu? 21 1 Kor 6:19Lakini yeye alinena habari za hekalu la mwili wake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    19 Isa akawajibu, "Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!"

    20 Wale Wayahudi wakamjibu, "Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?" 21 Lakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    19 Yesu akawajibu, "Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!"

    20 Wale Wayahudi wakamjibu, "Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?" 21 Lakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.