3 Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. 4 Yn 19:26;Mt 12:48;Mk 1:24Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. 5 Mamaye akawaambia watumishi, Lolote atakalowaambia, fanyeni.