Yesu na mwanamke Msamaria
1 Yn 3:22,26Kwa hiyo Bwana, alipofahamu ya kuwa Mafarisayo wamesikia ya kwamba, Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kuwabatiza, 2 1 Kor 1:17(lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake)

1 Isa alipata habari kuwa Mafarisayo4:1 Kundi la kidini la Wayahudi; walifuata Torati kwa dhati, hasa maagizo kuhusu utakaso. Pia waliamini katika malaika, ufufuo wa wafu, na kuja kwa Masihi ambaye atarejesha ufalme wa Daudi na ukuu wa taifa la Israeli. walisikia kwamba yeye alikuwa akipata wanafunzi kuliko Yahya na kuwabatiza, 2 ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake.
1 Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana, 2 ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.