23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. 24 Rum 12:1;2 Kor 3:17Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Publicidade