17 Yn 9:4Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. 18 Yn 7:30;10:33Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu.
Mamlaka ya Mwana
Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,