Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 5

21 Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao. 22 Dan 7:13,14;Mdo 17:31Tena Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote; 23 Flp 2:10,11;1 Yoh 2:23;Lk 10:16ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyemtuma.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também