22 Dan 7:13,14;Mdo 17:31Tena Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana hukumu yote; 27 Dan 7:10,14;Yn 5:22Naye akampa amri ya kufanya hukumu kwa sababu ni Mwana wa Adamu.
Publicidade
Yohana 5:22,27
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
22 Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
27 Naye amempa Mwanawe mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
22 Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,
27 Naye amempa Mwanawe mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.