8 Wanafunzi wake mmojawapo, Andrea, nduguye Simoni Petro, akamwambia, 9 2 Fal 4:42,43Yupo hapa mtoto, ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa?