Pular para o conteúdo
Publicidade

João 7

3 Yn 2:12;Mt 12:46;Mdo 1:14Basi ndugu zake wakamwambia, Ondoka hapa, uende Yudea, wanafunzi wako nao wapate kuzitazama kazi zako unazozifanya. 4 Kwa maana hakuna mtu afanyaye mambo kwa siri, naye yeye mwenyewe anataka kujulikana. Ukifanya mambo haya, basi jidhihirishe kwa ulimwengu. 5 Mt 13:55Maana hata nduguze hawakumwamini.

Veja também