41 Yn 1:46Wengine walisema, Huyu ndiye Kristo. Wengine wakasema, Je! Kristo atoka Galilaya? 42 2 Sam 7:12;Mik 5:2;Mt 2:5,6;22:42;Zab 89:3Andiko halikusema ya kwamba Kristo atoka katika uzao wa Daudi, na kutoka Bethlehemu, mji ule alioukaa Daudi?
Publicidade
Yohana 7:41,42
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
41 Wengine wakasema, "Huyu ndiye Al-Masihi!"
Lakini wengine wakauliza, "Je, Al-Masihi kwao ni Galilaya? 42 Je, Maandiko hayasemi kwamba Al-Masihi atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?"
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
41 Wengine wakasema, "Huyu ndiye Kristo!"
Lakini wengine wakauliza, "Je, Kristo kwao ni Galilaya? 42 Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?"
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.