Pular para o conteúdo
Publicidade

Yoshua 15

Kalebu aichukua milki yake

13 Yos 14:13;Mwa 23:2Kisha alimpa huyo Kalebu mwana wa Yefune sehemu kati ya wana wa Yuda, kama BWANA alivyomwamuru Yoshua, Kiriath-arba,15:13 Tazama Yoshua 14:15. ndiyo Hebroni (ni huyo Arba aliyekuwa babaye Anaki). 14 Amu 1:10;Hes 13:22Huyo Kalebu aliwafukuza watoke hapo hao wana watatu wa Anaki, nao ni Sheshai, na Ahimani, na Talmai, wazawa wa Anaki.

Veja também