Nchi ya makabila yaliyobaki
1 Yos 19:51;21:2;Amu 21:19;1 Sam 14:3;Zab 78:58-60;Amu 18:31;1 Sam 1:3,24;4:3,4Kisha mkutano mzima wa wana wa Israeli walikutana pamoja hapo Shilo, wakasimamisha hema ya kukutania huko; nayo nchi ilikuwa imeshindwa mbele zao.