Pular para o conteúdo
Publicidade

Juízes 11

Binti wa Yeftha

34 Amu 10:17;Kut 15:20;1 Sam 18:6;Zab 68:25;Yer 31:4Kisha Yeftha akafika Mispa nyumbani kwake, na tazama, binti yake akamtokea kumlaki, na matari na akichezacheza; naye alikuwa ni mwanawe wa pekee; hakuwa na mwingine, wa kiume wala binti. 35 Hes 30:2;Mwa 37:29;42:36-38;2 Sam 13:30,31;18:33;Ayu 1:20;Mhu 5:2-5;Zab 15:4Ikawa alipomuona akayararua mavazi yake, akasema, Ole wangu! Mwanangu, umenitweza sana, nawe u mmoja miongoni mwa hao wanisumbuao; kwa kuwa mimi nimemfunulia BWANA kinywa changu, nami siwezi kurudi nyuma.

Veja também